Album mpya ya Michael Jackson kuingia sokoni mwezi May
Yes, kuna album mya ya Michael Jackson...Miaka mitano tangu alipofariki
mkali wa miondoko ya pop duniani, Michael Jackson, Sony na Epic Records
wametangaza plani ya kuachia albu ya baada ya kifo chake, walioipa jina
"Xcape"

0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu