kuelekea katika tuzo za Kora Africa mashabiki wamepewa nafasi ya
kuchagua wasanii wanaowakubali Africa kwa kuwapigia kura kwa kuandika
jina la msanii wanaemkubali. wiki ya 14 hivi sasa Diamond amefanikiwa
kutoka katika nafasi ya 14 mpaka nafasi ya 3 wiki hii.
kupitia ukurasa wao wa facebook, Kora Awards, wametoa nafasi kwa
mashabiki kuchagua best artist kutoka mashariki, kati,magharibi, kusini
na kaskazini mwa Africa kabla ya kuja na list kamili ya wasanii wakali
wiki hiyo ya tuzo.
Kwa wiki hii ya 14,Diamond Platnumz amemkalisha Amani kutoka Kenya
pamoja na Kidumu kuwakilisha Africa ya mashariki. Diamond amesogea
kutoka nafasi ya 14 wiki iliyopita mpaka nafasi ya 3 wiki hii.
Kupitia mtandao wa instagram, Diamond ameandika hiki kwa mashabiki wake
KORA Awards zinafanyika kila mwaka kwa wanaofanya vizuri katika game ya
muziki sub-Saharan Africa. Mwaka huu zinatarajiwa kufanyika (ingawa
hazijatoaka taarifa za mwisho)Benin, Cote d'Ivoire, Ethiopia na South
Africa zimetajwa ku-host tuzo hizo.



0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu