Brand new single ya mtu mzima kalla Jeremiah akiwashirikisha
Ney wa Mitego anyetamba na ngoma yake ya Nakula ujana
pamoja na Muziki gani aliyomshirikisha
Diamond Plutnumz.
Na kwenye upande wa chorus amesimama Artist anayekuja kwa kasi
na kibao chake cha Basi Nenda siyo mwingine ni
Mo-Music.
Mzigo unaitwa SIMU YA MWISHO
kalla Jeremiah ft Ney wa Mitego & Mo-Music
0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu