Good news ni kwamba bif hilo limekwisha na Diamond amempa ofa ya
kumlipia Q chief audio pamoja na video ili atusue maana ni msanii ambae
anaemkubali.
"Q Chief namkubali sana, anajua sana kuimba, ana miziki ambayo
watanzania wanaipenda sana lakini sifaham tatizo ni nini siwezi kujaji,
lakini
sikuzote natamani, kuna kipindi lani nishawahi
nilikua nipo na
prof jay nakumbuka nilikuwa niko uingereza nikamwambia ukikutana nae
zungumza nae mwambie mi ntamlipia video na audio akashoot akafanye ngoma
ambayo naamini atatusua, lakini bahati mbaya sijui ikawaje kawaje
ikaishia hivyo.Ni mtu ambae natamanigi nisikie ngoma zake kila
dakika...." amesema Diamond

0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu