Hatimaye Diamond Platinum'z Ashinda Tuzo 3 Za CHOAMVA 2014

It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayo Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O
Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana kutoka nyumbani Tanzania kuwa ni miongoni mwa vijana walioshinda tuzo hizo katika vipengele (3) ambavyo ni Most Gifted East,Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hii ndio orodha kamili ya washindi
Most Gifted R&B video
Crazy but Amazing-Donald
Most Gifted West Video
‘Turn Up-Olamide
Most Gifted Ragga/Dancehall
Buffalo Soulja
The Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja
Most Gifted East Video
Diamond Platnumz
Most Gifted Dance Video
Busiswa-Ngoku
Most Gifted Hip Hop Video
AKA- Congratulate
Most Gifted Newcomer
Diamond Platnumz
Most Gifted Male Video
Casper Nyovest-Doc Shebeleza
Most Gifted Female Video
Tiwa Savage-Eminado
Most Gifted Afro Pop Video
Diamond Platnumz
Most Gifted duo/group/featurning
KCEE ft Wizkid-Pull Over
Most Gifted Video of the Year
Carsper Nyovest- Dos Shebeleza
Diamond Platinum'z Amerudisha Heshima Bongo tena kwa kunyakua tuzo 3 Mfululizo kati nne za CHOAMVA zilizotolewa Usiku wa kuamkia Leo huko Johannesburg Afrika Kusini, Pongezi zikiwa nyingi kutoka kwa wasanii mbalimbali kama barnaba ,vanesa mdee,Ay,na wengine kadhaa, lakini iliyoonekana tofauti ni ile ilitoka kwa mpenzi wake wa zamani Wema Izack Sepetu Kupitia Mtandao wa instagram kwa kuandika haya
>>Gudnyt instagrammers..And hongera tele ziende kwa Kaka Platinum'z i must say he did Tanzania Proud << Aliandika Hayo kupitia page yake ya Instagram Hali iliyoonekana tofauti kwa mashabiki zake ambao walizoea Wema akimuita Diamond Platinumz Baby ,Aidha Msafara wa Kuzifata tuzo hizo Johnnesburg uliambatana na watumama yake mzazi,babu tale , kama Zari the boss Lady ambaye juzi juzi alikuwa ana tetesi za ku date na mkali huyo wa ngololo

0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu