Jux na Vanessa Mdee ni mtu na mpenzi wake, imethibitika.
Jux amethibitisha uhusiano wake na
muimbaji huyo wa ‘Hawajui’ kwenye mahojiano na kituo cha redio cha Kings
FM cha mjini Njombe. Kwa kipindi kirefu wawili hao wamekuwa
wakikanusha kuwa na uhusiano.
“Nshaconfess siku nyingi tu. Mwanzo
nilikuwa nakataa kwasababu ilikuwa bado unajua first time unakutana na
mtu na lazima itafika time mtasema now it’s a time naweza nikasema tu
tuko hivyo. Mimi sipendi unasema leo hivi halafu kesho yanatokea mambo
mengine, lazima uone kwamba sasa naweza nikasema,” alisema Jux.
0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu