Diamond Platnumz ameamua kujitosa katika kutengeneza Album ambayo ndani ipo ngoma ambayo kafanya na P Square ambayo haijatoka.
Alipokua akifanya Interview na kipindi cha “My music & I” cha SoundCity ya Nigeria Diamondamesema kuwa katika album hiyo kutakuwa na nyimbo kama Nasema nawe,Number one, Number Rmx, Bum Bum, Nitampata wapi na Nana ni baadhi ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye Album hiyo pia alisema collabo yake na Psquare ni moja ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye Album hiyo.

0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu