Wasanii wa kundi la Weusi, Navy Kenzo
pamoja na Vanessa Mdee na Jux wana
familia yao ‘Good Music family’ ambayo
hushirikiana katika kazi zao mbalimbali za
sanaa.
Producer wa The Indusrty ambaye pia ni
msanii wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel
amesema kuwa umoja wao huo
haukupangwa na wahusika bali ni kitu
kilichokuja chenyewe kupitia studio yake ya
The Industry.
Alisema Nahreel
kupitia Planet Bongo ya EA Radio.
“Sisi sio kwamba tulipanga tulikaa chini no,
nadhani the Industry imeweza kuleta watu
wote karibu ikatengeneza ikawa kama familia.
Na sisi wote ni watu wenye nia nzuri
tunapenda mziki, ndio maana tumekutana
tukasema tunaenda pamoja.”

0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu