Slider

Ephonix Music Tz

"Kutoa Nyimbo Nyingi Ni Ishara Ya Kutojiamini" Asema ALIKIBA

Hitmaker wa Mwana,Ali Kiba amedai yeye anamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini na ufujaji wa kipaji.
Mwimbaji huyo ambaye amekuwa akishinikizwa na mashabiki wake kuachia wimbo mpya ikiwa ni miezi kadhaa toka aachie video ya wimbo wa 'Cheketua',alikimbia kipindi cha The Sporah Show cha Clouds TV kuwa yeye akitoa kazi yake moja ina uwezo wa kukaa sokoni kwa muda mrefu. "Fans don't worry about me,kitu ambacho nafanya "New Kiba,New Year" ni kutaka kwenda sawa na nyie.Lakini nilikuwa nataka mnielewe kutoa nyimbo kila dakika ni umalizaji wa Talent yako au kutojiamini auTalent yako fupi au una jaribu.Mimi najiamini kwa kitu ambacho natoa ni muda gani natakiwa kurudi tena",alisema.
Aidha,Ali Kiba aliwataka watu kuacha kumfananisha na wasanii wengine kwa kuwa yeye anafanya vitu tofauti na wengine.
Share on Google Plus

About Chill Axy Beatz

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu