Slider

Ephonix Music Tz

Video ya Jux "Nitasubiri" kuzinduliwa jumapili hii ndani ya Billcanas

Video ya wimbo mpya wa Jux, ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa ham sana, hasa watu wakitaka kufahamu kama video queen atakuwa ni Jack itazinduliwa siku ya jumapili ndani ya Billcanas 
Jux alithibitisha kumuimbia girlfriend wake Jack ambae alipatwa na matatizo akiwa nchini China.
Uzinduzi huo utasindikizwa na performance kutoka kwa Jux mwenyewe, Mr Blue, Young Dee, Mirror, Cyrill na Vanessa Mdee, kwa kiingilio cha shilingi 8000 tu, huku B12 akiwa ndio MC wa show hiyo.
Share on Google Plus

About Chill Axy Beatz

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu