
Director Hefemi ndiye anayeshoot video mpya ya Young Killer ft Banana
Zorro 'Umebadilika' Kwa namna picha zinavyoonekana, huenda video ya
wimbo mpya wa Young Killer ‘Umebadilika’ aliomshirikisha Banana Zorro,
inaweza kuwa miongoni mwa video kali za mwaka 2014. Video hiyo
ilichukuliwa ndani na pembezoni mwa bahari ya Hindi katika kisiwa cha
Mbudya jijini Dar es Salaa. Hizi ni picha zingine za video hiyo
itakayotoka hivi karibuni
Tazama baadhi ya picha alizoshare Rapper Young Killer




0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu