
Kundi la muziki La nchini Kenya, Souti Sol limefanya wimbo na msanii wa Tanzania Ommy Dimpoz utakaotoka hivi karibuni.
Ommy Dimpoz amesema kuwa wapo kwenye
harakati ya kufanya video ya wimbo huo hivi karibuni. “Souti Sol kuna
wimbo wamenishirikisha, huu wimbo umefanyikia Nairobi, kwa sababu mmoja
wao kwenye lile kundi ni producer
Ni project ambayo itakuwa karibuni kutoka kwa sababu tunafanya mipango ya kushoot video,” Ommy amesema.
0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu