Slider

Ephonix Music Tz

Diamond Platnumz ni moja ya wasanii wenye followers wengi East Afrika na Africa kwa ujumla katika mtandao wa Twitter.




Leo katika mtandao wa Twitter Diamond kawatolea uvivu wale wote wanaomtupia maneno mazito katika Mtandao wa Twitter.
Diamond Platnumz Ame Tweet "Nikirusha picha niko na mpenzi najishaua, nikirusha picha za kazi Mshamba.. nipost nini sasa??? Na**nya au? "

Share on Google Plus

About Chill Axy Beatz

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu