Slider

Ephonix Music Tz

Picha : Yamoto Band wakishoot Video South Afrika na GodFather

Kama tunavyojua Kikundi bora cha mwaka kwenye tuzo za KTMA2015 Yamoto Band kipo nchini South Afrika kwa ajili ya kushoot video yao mpya ya nyimbo ijulikanayo kama Cheza Kimadoido ambayo inaongozwa na Director maarufu ajulikane kama GodFather.
  Zifuatazo ni baadhi ya picha za maandalizi ya video hiyo...


Share on Google Plus

About Chill Axy Beatz

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu