Slider

Ephonix Music Tz

Entertainment Janeth Jackson karudi kwenye headlines na hii single yake mpya baada ya kimya cha miaka saba !! (Audio)

Janet-Jackson-No-Sleep-BellaNaija-June-2015-600x397
Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2008 kuisikia album ya staa wa muziki Janeth Jackson ambaye ni moja ya watoto mastaa kutoka kwenye familia ya mzee Joseph Walter “Joe” Jackson.. Familia yao yote iko kwenye Entertainment Industry, lakini kwa miaka saba Janeth hajawahi kuachia album wala single yoyote !!
Ujio wake mwingine rasmi kabisa ni huu ndani ya 2015, kaachia hii single inayoitwa ‘No Sleep‘, nimeisogeza hapa uisikilize alafu utaniambia kwenye comment yako kama huu ujio unaounaje !!
Share on Google Plus

About Chill Axy Beatz

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu