Kama wengi tunavyojua mkali wa RnB Marekani Chris Brown ni baba mwenye mtoto mzuri wa kike aliempa jina la Royalty. Lakini Chris bwana amekua akitengeneza headlines zinazo wateka watu wengi kwenye Instagram baada ya kua ana post picha tofauti za yeye na mtoto wake pamoja.
Sawa, Chris Brown
anaweza asiwe mtu mzuri sana kwenye mahusiano ya kimapenzi lakini
utakubaliana na mimi kua jamaa anajitahidi kua baba bora kwa mtoto wake
wa kike ambaye hivi juzi ametimiza mwaka mmoja. Emu zicheki hizi picha
hapa chini mtu wangu ujione jinsi gani Chris anavyo onyesha upendo kwa mtoto wake wa kike Royalty,
hadi raha yani! Yani kuanzia birthday ya mwanae, zawadi anazomletea,
sehemu wanazoenda wote na hata wakiwa wamechill tu, zote hizi Chris
anazitupia Instagram na kusababisha headlines mpya kwenye jina lake!
Wababa wanganpi uanowajua wana upendo huu watu wangu!?
0 maoni:
Post a Comment
to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu