Slider

Ephonix Music Tz

Belle 9 akubali ngoma na video ya 'Shauri Zao' imembadilisha ki maisha na muziki


Nyota wa muziki Belle 9, baada ya kupiga hatua kubwa kimuziki ikiwepo video ya Shauri Zao kupata 'Air Play' katika vituo vya kimataifa, amesema muonekano na hadhi yake imebadilika kabisa kwenda hatua inayofuata kama msanii wa kimataifa.

Belle 9 amesema kuwa, baadhi ya mafanikio ambayo ameanza kushuhudia kwa haraka haraka ni kuchukuliwa katika uzito wake, simu za deals anazopokea, aina ya mahojiano ambayo anafanya sasa, kazi kubwa mbele yake ikiwa ni kushikilia na kuendeleza nafasi hiyo, akiwa sasa anasonga kama kampuni - Vitamin Music.
 
-EATV

Share on Google Plus

About Chill Axy Beatz

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu