Slider

Ephonix Music Tz

Picha | BTS za utengenezaji wa video ya Ben Pol ‘Ningefanyaje’ Afrika Kusini

Rnb super staa Ben Pol ametimiza ahadiyake ya kwenda Africa Kusini kufanya video ya nyimbo mbili kama alivyo sema awali.

ben 1

ben 1 
 

ben 3 

  ben 4 

  ben 5 

Staa huyu pia amekutana na msanii wa dance hall kutoka Nigeria Patoranking na Ben Pol anasema “Alikutana na Patoranking juu kwa juu tu na hawakupata muda wa kuongea mengi ila walibadilishana mawasiliano ”  


http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2015/11/ben-6.jpg 


Ben alikutana na Patoranking kwenye show yake ya My Woman mjini Johannesburg Africa Kusini.
Share on Google Plus

About Chill Axy Beatz

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

to maoni n ushauri wako kuhusu post zetu